RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA MADHEHEBU YA DINI. IKULU JIJINI DSM.
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2019-01-22
Просмотров: 1511
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli anazungumza na Viongozi mbalimbali wa Dini wanaowakilisha Madhehebu mbalimbali hapa Nchini. Mazungumzo haya yanalenga kujenga na kuimarisha Amani, Umoja na Mshikamano kwa Watanzania Wote .Mazungumzo haya yanafanyika Jijini Dar es salaam. Januari 23,2019
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: