e - Ardhi Tutorial 1: JIFUNZE KUHUSU MFUMO WA E ARDHI, FUNGUA ACCOUNT NA ANZISHA OMBI LA HUDUMA
Автор: Danny
Загружено: 2025-05-21
Просмотров: 1530
Hivi karibuni Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehama kutoka mifumo ya zamani ya huduma za ardhi kutumia mfumo mpya rasmi kwa huduma zote za ardhi. Huduma za Upangaji miji na matumizi ya Ardhi, Upimaji na Ramani, Milki za Ardhi, Usajili hati na nyaraka, uthamini Ardhi, hivyo basi ewe mdau wa sekta ya Ardhi karibu kujifunza ni namna gani ya kutumia mfumo wa e - Ardhi kwa urahisi kabisa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: