Shule hii imewezaje kufundisha wanafunzi wenye ulemavu na wasio na ulemavu kwa pamopja
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-01-09
Просмотров: 1544
Shule hii ya Sekondari ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kufundisha watoto wenye ulemavu na wale wasio na ulemavu wowote kwa pamoja ndani ya darasa moja.
Wamewezaje kufanikiwa katika hili? mwandishi wa BBC Martha Saranga ameangazia jinsi shule hii ilivyofanikiwa katika elimu jumuishi.
#bbcswahili #tanzania #elimu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: