NI MAUAJI YA KUSIKITISHA GEITA, MKE AMUUA MME NA KUMZIKA NDANI YA NYUMBA YAO.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2025-10-17
Просмотров: 289
#mwangazatvupdates
Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mwanamke aitwaye Martha Japhet (44), mkazi wa kijiji cha Mawe Meru, kata ya Nyarugusu, kwa tuhuma za kumuua mume wake na kumzika ndani ya nyumba yao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo, amethibitisha kukamatwa kwa mwanamke huyo na kusema kuwa katika mahojiano na polisi, alikiri kutenda kosa hilo.
Marehemu ametambulika kwa jina la Shabani Paschal (55), ambaye ni mume wa mtuhumiwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: