Ndindi Nyoro awasha Makali dhidi ya Serikali
Автор: Mo radio Fm
Загружено: 2025-09-15
Просмотров: 17
Mbunge wa eneo bunge la Kiharu Ndindi Nyoro aendeleza makali dhidi ya serikali kuhusu kukopa madeni kupitiliza huku akitilia shauku ujenzi wa barabara ya Nairobi-Nakuru na uwanja wa Tatanta. Mwanahabari wetu Ronny Reagan na kina cha taarifa hii. Tazama
#moradioke #YugeNaDullah #MoRush #MONews #WeAreInCharge
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: