BARUA ZA KUITWA KAZINI SASAHIVI ZINATOLEWA KIDIGITALI
Автор: AJIRA TV
Загружено: 2025-12-04
Просмотров: 3267
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini, Bi. Lynn Chawala amesema kuwa wasailiwa wote ambao hufaulu usaili katika hatua ya usaili wa mahojiano barua zao za kuitwa kazini kwa sasa hutolewa kwa njia ya kidigitali kwenye akaunti zao za Ajira Portal, na kuwaondolea gharama wasailiwa kwani awali msailiwa alilazimika kufata barua hiyo jijini Dodoma katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira.
Bi. Lynn Chawala aliyasema hayo katika mahojiano na kituo cha Radio cha Imaan FM Mkoani Morogoro
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: