Makali ya kiangazi yaendelea kuathiri wananchi wengi katika kaunti ya Kitui
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2022-01-10
Просмотров: 1110
Makali ya kiangazi yanaendelea kuathiri wananchi wengi katika sehemu mbalimbali za kaunti ya Kitui, haya yanatokana na ukosefu wa mvua ya kutosha kati ya mwezi wa Oktoba na Desemba huku wafugaji wakipoteza mifugo yao kutokana na uhaba wa maji na malisho.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: