MAOMBI MAALUMU YA KUFUNGULIWA KWA WASICHANA AMBAO BADO HAWAJAOLEWA
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2021-02-15
Просмотров: 12389
“Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.”
Isa 42:22 SUV
Praise the Lord..
Leo ni siku yetu ya maombi ya kufunguliwa ya wasichana,
Mungu yuko tayari kutufungua
Na hichi ndio kitakachofatia,
“itasikilikana tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.”
Yer 33:11 SUV
THIS IS YOUR SEASON.
In Jesus name,AMEN
Min Mocky
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: