Maisha Canada 🇨🇦 Chakula cha Africa | African Food in Canada
Автор: LEZA FAMILY
Загружено: 2025-09-15
Просмотров: 1117
Karibu kwenye Leza TV Family ❤️
Katika video hii tunakuonyesha maisha ya Canada na namna tulivyoweza kupata vyakula vyote vya nyumbani kutoka Africa bila shida. 🥘
👉 Kama unafikiria kuja Canada kwa kazi (LMIA, AIP programs) au relocation, usiwe na wasiwasi — hapa utapata chakula chote cha Kiafrika kama vile ugali, sukuma wiki, nyama choma, pilipili, samaki na mengine mengi.
Hii ni good news kwa wale wanaotoka Kenya, Tanzania, Congo, Uganda, Rwanda, Burundi na East Africa yote 🌍 kwa sababu maisha ya Canada ni rahisi kuliko vile watu wanadhani.
🎥 Angalia video hii mpaka mwisho ujionee vile supermarkets na African shops zinavyoleta chakula cha nyumbani mpaka Canada.
👉 Subscribe kwa channel yetu Leza TV Family kwa video zaidi kuhusu:
Maisha ya kifamilia Canada 🇨🇦
African lifestyle abroad
Kazi na relocation opportunities
Real life ya migrant family
#LezaTVFamily #MaishaCanada #AfricanFoodCanada #CanadaLife #VyakulaAfrica #KenyaToCanada #TanzaniaToCanada #CongoToCanada #EastAfricaDiaspora #LivingInCanada
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: