Kocha Azam FC aeleza atakachoifanya JKT Tanzania NBC PL 01/10/2025
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-30
Просмотров: 2713
AZAM FC: “Tunajiamini, na tunakwenda kufanya vizuri na kuchukua alama”
Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge akieleza maandalizi yao kuelekea mchezo dhidi ay JKT Tanzania utakaopigwa kesho Oktoba 01 kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo.
Ibenge anasema anawajua JKT Tanzania kuwa ni timu ngumu, na tayari walishakutana wakati wa Pre-Season’, hivyo haitakuwa mechi rahisi..
Naye kiungo Feisal Salum kwa niaba ya wachezaji anasema wataingia bila ‘presha’ kwa kufuata maelekezo ya kocha… “Mwalimu ametuambia tusiwe na presha”
#NBCPL #NBCPremierLeague #AzamFC #Ibenge
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: