WALIMU NA SAFARI ZAO EP. 1: Majid Mswahili NIA, MATARAJIO NA UHALISIA KATIKA TAALUMA YA UALIMU
Автор: Anna Shoma
Загружено: 2025-12-26
Просмотров: 79
Kila mwalimu ana hadithi yake; wakati uliomvutia, changamoto iliyomjenga, mwanafunzi na matukio yaliyomkumbusha kwa nini anadumu kuwa mwalimu.
Katika mazungumzo haya, tunaleta hadithi hizo halisi. Ungana nami kusikia walimu wakisimulia safari zao binafsi, uhalisia wa darasani, na mafanikio madogo na makubwa yanayowapa nguvu ya kuendelea.
Mwalimu Majid Mswahili, ana kofia mbalimbali kama ifuatavyo:-
1. Mhadhiri wa idara ya Fasihi na Sanaa ya Ubunifu wa Chuo Kiuu cha Waislamu cha Morogoro
2. Mwandishi wa kazi za kifasihi
3. Mchambuzi wa Lugha, Fasihi na Utamaduni wa Kiswahili
4. Mhariri, Mfasiri na Mkalimani wa Kiingereza - Kiswahili
5. Mwalimu anaye endesha maradi wa kuhoji wa kuhoji watunzi wa fasihi ya Kiswahili duniani [Sauti ya Mtunzi]
6. Mshehereshaji wa matukio ya kielimu, kisanaa na kitamaduni
Je unajifunza nini kutoka kwa Mwalimu Majid? Anakukumbusha jambo gani linalofanana na maisha yako ya kuwa mwalimu?
Karibu kuniandikia barua pepe [email protected] ili tusimulie safari yako. Kila siku, walimu tunayo nafasi ya kuboresha maisha yetu, utumishi wetu na maisha ya tunaowahudumia. Usiache kujifunza.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: