Kumbukumbu ya Mahafari ya Kidato cha Nne (Maulid)_2025
Автор: Sunga Secondary School
Загружено: 2025-11-13
Просмотров: 129
Hii ilikuwa ni moja wapo ya siku ambayo haitasahaulika kamwe. Kuagana na watu tuliokaa sote kwa muda wa miaka minne, ni jambo zuri maana kuachana/kuagana huonesha mafanikio kwamba kile kilichotukutanisha kimetimia kwa ubora wake.
Elimu tuliopata tukaitumie kuishi vyema katika mazingira yetu, kuvumbua na kuona fursa zilizopo mtaani, pia kutatua changamoto za kila siku.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: