ALINITIMUA NYUMBANI KWAKE | NILITEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MASAKI MPAKA KINYEREZI | WIVU NI MWINGI SANA
Автор: Official Dating Assistance
Загружено: 2024-03-25
Просмотров: 22076
Judith ameeleza safari yake ya mahusiano kutoka kwa wabongo ambao alifumania mara kadhaa mpaka kutumiwa video ya utupu ya aliekua nae kwenye mahusiano na mwanamke mwengine.
Alikutana na mume wake wa Kireno kazini lakini changamoto ya wivu ilikua ni kubwa sana.
Mahusiano yakivunjika na kurudi baada ya misukosuko lakini waliweza kurudi sawa.
Kwasasa anaishi Portugal na ameelezea wareno na nchi yao na changamoto za kufunga ndoa.
Unaweza mpaka kwenye mitandao ya kijamii na YouTube kwa jina la Adeltaeta
Thank you Judith for allowing this to be online
www.oda.international
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: