Nyimbo za Mungu 315 : Nimepata Salama - Tabernacle de Likasi ( Chanson en Swahili )
Автор: Maranatha : Come, O Lord
Загружено: 2021-12-29
Просмотров: 3601
Nyimbo za Mungu 315 : Nimepata Salama - Tabernacle de Likasi ( Chanson en Swahili )
1.
Nimepata salama kutoka mbinguni,
Sasa ninapumzika kwa Yesu;
Na katika mateso na taabu ya hapa
Ninaona salama na kimya.
Chorus
Nimepata salama, ni salama kutoka mbinguni;
Ni salama ya Mungu kulinda mioyo;
Ndiyo inayopita kusema.
2.
Sina mali nyingine kupita salama,
Mungu aliyoleta kwa mimi;
Na salama hii mutu hawezi kutoa,
Itakuwa milele moyoni.
3.
Sasa ninapumzika katika salama,
Kwa mikono ya Yesu Mwokozi;
Ninalala usiku pahali po pote,
Bila woga wa kitu cho chote.
4.
Na wakati nitakapofika mbinguni,
Nitaona Mwokozi Mupenzi;
Nitapiga asante kwaye kwa salama
Iliyonituliza saa zote.
Nyimbo za Mungu 315 : Nimepata Salama - Tabernacle de Likasi ( Chanson en Swahili )
#Maranatha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: