Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

CHALINZE NI VICHEKO/HAIJAWAI KUTOKEA/WAZIRI BASHUNGWA AZINDUA SOKO LA KISASA/WANANCHI SHANGWE TU.

Автор: Kalunduka Online

Загружено: 2024-10-10

Просмотров: 550

Описание:

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kwa kujenga miundombinu ikiwemo Masoko ili kurahisisha ufanyaji wa biashara.

Bashungwa ameeleza hayo Mkoani Pwani leo Oktoba 09, 2024 wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kuzindua Soko la Kisasa la Bwilingu pamoja na miundombinu yake lillilopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze lililogharimu Shilingi Bilioni 1.7.

Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imejenga Soko hilo kwa kutambua Chalinze ipo kwenye eneo la kimkakati linalounganishwa na reli ya kisasa (SGR) na kuunganisha Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Dodoma.

“Bilioni 1.7 zilielekezwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia zitolewe katika Halmashauri ya Chalinze katika mapato yake ya ndani wanayokusanya ili zifanikishe ujenzi wa Soko hili la kisasa“, amesisitiza Bashungwa.

Bashungwa ameupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze pamoja na Waheshimiwa Madiwani kwa kusimamia maelekezo ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwa mfano wa kuigwa kwa Halmashauri zingine kutumia fedha za ndani wanazokusanya kuboresha na kufikisha huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi.

Aidha, Bashungwa amewaagiza watalaam kutoka Idara ya Masoko na Biashara katika Halmashauri hiyo kuhakikisha wanawatembelea mara kwa mara wafanyabiashara katika Soko hilo na kutoa elimu ya biashara ili kusaidia kukuza mitaji ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameeleza kuwa ujenzi wa Soko hilo ni mkakati ws kuhakikisha Halmashauri inakuwa na sehemu bora na yenye mpangilio kwa kutoa huduma kwa wananchi pamoja na kuongeza vyanzo vya mapato.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Wananchi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chalinze wamemshukuru Rais Samia kwa kuelekeza fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Soko hilo ambalo limewarahisishia kufanya biashara na kukuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja.

CHALINZE NI VICHEKO/HAIJAWAI KUTOKEA/WAZIRI BASHUNGWA AZINDUA SOKO LA KISASA/WANANCHI SHANGWE TU.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Asubuhi | Disemba 08, 2025 | Swahili Habari

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Asubuhi | Disemba 08, 2025 | Swahili Habari

MFAHAMU Mwalimu Aliyemfundisha KIKWETE, Asimulia DC Alivyoifunga SHUL

MFAHAMU Mwalimu Aliyemfundisha KIKWETE, Asimulia DC Alivyoifunga SHUL

CHALINZE KUWA MJI WA KISASA

CHALINZE KUWA MJI WA KISASA

Сборник ЛУЧШИХ Мелодий от которых мурашки по телу! Красивая музыка для души- Осень #Relaxing

Сборник ЛУЧШИХ Мелодий от которых мурашки по телу! Красивая музыка для души- Осень #Relaxing

Tandika Dar es Salaam! A hub of street foods in Tanzania Africa

Tandika Dar es Salaam! A hub of street foods in Tanzania Africa

RIDHIWANI KIKWETE ATOBOA SIRI YA HAYATI DKT. MAGUFULI KUHUSU CHALINZE

RIDHIWANI KIKWETE ATOBOA SIRI YA HAYATI DKT. MAGUFULI KUHUSU CHALINZE

MSTAAFU KIKWETE Asimulia WAZIRI GWAJIMA ALIVYOPAMBANIA HOSPITALI ya CHALINZE..

MSTAAFU KIKWETE Asimulia WAZIRI GWAJIMA ALIVYOPAMBANIA HOSPITALI ya CHALINZE..

MAMIA WACHANGAMKIA VIWANJA VYA LAKI MOJA CHALINZE

MAMIA WACHANGAMKIA VIWANJA VYA LAKI MOJA CHALINZE

Бизнес Идеи 2025! ТОП-95 лучшие станки для бизнеса из Китая (№32)

Бизнес Идеи 2025! ТОП-95 лучшие станки для бизнеса из Китая (№32)

Makongoro Nyerere alivyomvunja mbavu Rais Samia akipewa Tuzo ya kiongozi mchekeshaji

Makongoro Nyerere alivyomvunja mbavu Rais Samia akipewa Tuzo ya kiongozi mchekeshaji

Chalinze 1A

Chalinze 1A

🔴#Live: MSTAAFU KIKWETE na MGOMBEA URAIS wa CCM - DKT SAMIA WAPO KWENYE KAMPENI - MSATA - PWANI...

🔴#Live: MSTAAFU KIKWETE na MGOMBEA URAIS wa CCM - DKT SAMIA WAPO KWENYE KAMPENI - MSATA - PWANI...

История Византии за 13 минут

История Византии за 13 минут

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 08/12/2025 JUMATATU ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 08/12/2025 JUMATATU ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

HATUA : MUONEKANO MPYA WA UWANJA WA MICHEZO ARUSHA, WAFICHUA UBORA WA KIMATAIFA

HATUA : MUONEKANO MPYA WA UWANJA WA MICHEZO ARUSHA, WAFICHUA UBORA WA KIMATAIFA

🅻🅸🆅🅴  MGOMBEA URAIS WA CCM, DKT. SAMIA  AKIWA KATIKA KAMPENI CHALINZE

🅻🅸🆅🅴 MGOMBEA URAIS WA CCM, DKT. SAMIA AKIWA KATIKA KAMPENI CHALINZE

⚡ФЕЙГИН: Путин ВЗОРВАЛСЯ от попуска Моди. Трамп ОБЕЗУМЕЛ из-за плана: Кремль ПРОЩАЮТ? Кадырову ХАНА

⚡ФЕЙГИН: Путин ВЗОРВАЛСЯ от попуска Моди. Трамп ОБЕЗУМЕЛ из-за плана: Кремль ПРОЩАЮТ? Кадырову ХАНА

Три человека, которые тихо разрушают вашу жизнь после пятидесяти!

Три человека, которые тихо разрушают вашу жизнь после пятидесяти!

THE MOST BEAUTIFUL FUSION!! Flamenco, Accordion & Violin in Music That Touches the Soul

THE MOST BEAUTIFUL FUSION!! Flamenco, Accordion & Violin in Music That Touches the Soul

5 человек, которые тихо УБИВАЮТ вас после 50 лет! Проверьте срочно | Еврейская мудрость

5 человек, которые тихо УБИВАЮТ вас после 50 лет! Проверьте срочно | Еврейская мудрость

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]