Vijana Wanajitolea Kwa Kufanya Khayraat
Автор: Halaal Charity Tv
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 177
Ushujaa na moyo wa huruma wa vijana wanaojitolea kwa mambo ya kheri. Juhudi hizi zinagusa moyo, zikionyesha jinsi vijana wanavyoweza kujenga akhera yao kupitia kujitolea, msaada, na upendo. Video hii inakuletea inspirational stories za juhudi, ujasiri, na moyo wa kujitolea usio na kikomo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: