RIDHIWANI ASEMA ELIMU NDIO MSINGI WA MAENDELEO, SHULE MPYA ZA SEKONDARI KUJENGWA CHALINZE.
Автор: Kimeza Production
Загружено: 2025-09-22
Просмотров: 23
Mgombea Ubunge jimbo la Chalinze amesema halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani imepanga kujenga shule 14 mpya za sekondari na hivyo wananchi wameshauriwa kuhakikisha watoto wao wanasoma.
Ridhiwan Kikwete ni mgombea Ubunge jimbo la Chalinze amesema hakuna jambo linaloweza kuwakomboa Wana Chalinze zaidi ya elimu na ambayo inapatikana kwenye mazingira wezeshi ya miundombinu ya madarasa na samani zake.
Ridhiwan amesema hayo akiwa Kata ya Kiwangwa Chalinze kwenye uzinduzi wa kampeni za kata hiyo ambapo pia aliomba kura za kutosha za ndio Kwa mafiga matatu (CCM) akimaamisha Ubunge,Udiwani na Rais
Aidha Diwani kata ya Kiwangwa Malotta Kwaga ameelezea kuwa Ilani mpya ya CCM imekuja kutatua Changamoto za wananchi wa eneno hilo ikiwemo kilio Cha vituo vya afya ambapo Serikali imeleta Sh.
Mil 700 Ujenzi wa kituo Cha Afya Vigwaza na ipo hatua za mwisho na pia Vijijini vya Bango na Mwitemo navyo sas vina huduma ya Zahanati.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: