KIFO CHA UTATA CHA MCHUNGAJI MTIKILA NA JINAMIZI LA MGOMBEA BINAFSI
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2025-08-09
Просмотров: 40661
Oktoba 29, 2025 watanzania watashiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu - kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani kutoka vyama 18 vya siasa. Vipi kuhusu mgombea binafsi? Hapo ndipo Mchungaji Christopher Mtikila anaingia, na @mcshondelive anakupa #InsideStori ya harakati alizozifanya kabla ya kifo chake mwaka 2015.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: