BBC BIASHARA BOMBA: 'Kilimo cha Kaa'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2019-06-10
Просмотров: 7756
Katika pwani wa Kenya, wavuvi wamekuwa wikivua kaa kwa miaka mingi. Leo idadi ya kaa imeanza kupungua kwa sababu ya ongezeko la hitaji la chakula hicho na uchafuzi wa mazingira. Lakini kuna wawekez aji wanaojaribu kujaza pengo lililopo kwa njia ya kufuga na kulima kaa. Charles Gitonga anatuarifu zaidi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: