🗣️ Mazungumzo Mafupi ya Kiswahili na Kiingereza | Short Daily Conversations
Автор: ๛༉𝗧𝗘𝗔𝗖𝗛𝗘𝗥 𝗢𝗚࿐₉₄
Загружено: 2025-07-30
Просмотров: 640
Karibu ujifunze mazungumzo mafupi ya kila siku kwa Kiswahili na Kiingereza!
Video hii imekusudiwa kwa wanafunzi, walimu, na yeyote anayetaka kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha.
✅ Mazungumzo haya ni:
🔹 Mafupi
🔹 Rahisi kuelewa
🔹 Ya kila siku (Daily conversations)
🔹 Yamepangwa kwa mfumo wa A na B kwa urahisi wa kujifunza
Utaweza kujibu na kuuliza maswali kama:
🔹 Uko wapi?
🔹 Umekula?
🔹 Hii ni simu yako?
🔹 Umeshindaje?
...na mengine mengi!
👨🏫 Imeandaliwa na Teacher OG kwa ajili ya kukuongoza hatua kwa hatua katika kujifunza lugha.
🟢 Tazama hadi mwisho, jisajili (subscribe), na bonyeza kengele 🛎️ ili usipitwe na vipindi vijavyo!
#MazungumzoMafupi
#EnglishSwahili
#KiswahiliNaKiingereza
#LearnEnglish
#TeacherOG
#DailyEnglishPractice
#EnglishConversation
#KiingerezaChaKilaSiku
#SwahiliToEnglish
#MazungumzoYaWatuWawili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: