NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA.Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.MRATIBU ALOYCE GODEN KIPANGULA. DSM
Автор: Aloyce Goden Kipangula
Загружено: 2022-05-01
Просмотров: 2196141
NYIMBO HIZI.
1 EE MAMA YETU MARIA-P.F MWARABU
2 ASANTE MAMA WA YESU PF MWARABU
3 SALAMU MARIA- F.A. NYUNDO
4 EWE MAMA MARIA- PF MWARABU
5 UMSIHI MWANAO YESU-PF MWARABU
Hizi ni kati ya nyimbo Muhimu sana za Mama Mama Maria ambazo zimekuwa zikitumika sana katika uinjilishaji. Nyimbo hizi zimejipambanua vilivyo kumwelezea, kumuomba na kujivunia Mama Yetu Maria.
TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUONYESHA UPENDO KWETU KWA TUTULETEA MAMA WA MKOMBOZI WETU NA MWOMBEZI WETU BIKIRA MARIA NA PIA KUTULETEA WATUNZI WA NYIMBO AMBAO KUPITIA TUNGO ZAO TUMEZIDI KUMFAHAMU VEMA MAMA MARIA.
NAMI NISIYESTAHILI MUNGU AMEAMUA KUPIA KWANGU ILI INJILI HII IPATE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI. HIVYO MUNGU AMERUHUSU KURECODIWA NYIMBO HIZI ILI ZISIKIKE KWA WATU WOTE.
NAWASHUKURU WANAKWAYA WAKATOLIKI PAROKIA YA CHANG'OMBE (CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS) KWA UTAYARI WAO KATIKA UINJILISHAJI.
MUNGU ATUBARIKI SOTE.
KWA MAONI NA USHAURI HATA UFADHILI ILI INJILI HII KWA NJIA YA NYIMBO IPATE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI. KARIBU UWASILIANE NAMI KWA SIMU NO
+255 754 459 766
+255 655 459766.
ALOYCE GODEN KIPANGULA
MRATIBU CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM TZ
#kanisakatoliki #changombecatholicsingers #katoliki #kmkm#nyimbozakatoliki #kanisakatoliki #kwayakatoliki #nyimbozainjili #kwaresma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: