Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Sikiliza VIMBWANGA Vifupi vya Kamanda Lissu Tanganyika na Zanziba

Автор: Swahili Villa Online TV | Washington, D.C

Загружено: 2014-04-15

Просмотров: 567738

Описание:

Sikiliza VIMBWANGA Vifupi vya Kamanda Lissu Tanganyika na Zanzibar ilivyochakachuliwa...!!!

Dodoma/Dar. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

Huku akinukuu maneno yaliyopo katika vitabu vilivyoandikwa na Profesa Issa Shivji na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa, Lissu alisema Jamhuri ya Muungano ilizaliwa bila uhalali wa kisheria kwa kuwa hayakuwapo makubaliano ya kila upande wa Muungano.

Alisema Aprili 26, 1964 (Siku ya Muungano), Mwalimu Nyerere alitoa amri ya masharti ya mpito ya mwaka 1964 ambayo pamoja na mambo mengine iliifuta Tanganyika. Akichambua kitabu cha '50 Years of Independence: A Concise Political History of Tanzania' (Miaka 50 ya Uhuru: Historia fupi ya Tanzania), kilichoandikwa na Msekwa na kuchapishwa Januari mwaka huu, Lissu alisema:

"Msekwa anasema katika kitabu hicho kuwa amri hiyo ilichapishwa katika Gazeti la Serikali la siku hiyo. Kwanza, iliwabadilisha waliokuwa watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Tanganyika kuwa watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano."

Soma Zaidi: http://swahilivilla.blogspot.com/2014...

Sikiliza VIMBWANGA Vifupi vya Kamanda Lissu Tanganyika na Zanziba

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

BALAA LA LISSU MIAKA 10 ILIYOPITA JUU YA MUUNGANO, RAIS SAMIA AKIWA M/KITI WA BUNGE LA KATIBA

BALAA LA LISSU MIAKA 10 ILIYOPITA JUU YA MUUNGANO, RAIS SAMIA AKIWA M/KITI WA BUNGE LA KATIBA

BUNGE - JULY.03.2015| TBC

BUNGE - JULY.03.2015| TBC

Hotuba Rasmi ya kambi ya upinzani,  Katiba na Sheria 2013-2014, Tundu Lissu.

Hotuba Rasmi ya kambi ya upinzani, Katiba na Sheria 2013-2014, Tundu Lissu.

AMKA NA BBC SWAHILI LEO JUMAMOSI TAR,27.12.2025

AMKA NA BBC SWAHILI LEO JUMAMOSI TAR,27.12.2025

Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'

Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'

Kauli ya Mheshimiwa Freeman Mbowe bungeni sakata la Escrow

Kauli ya Mheshimiwa Freeman Mbowe bungeni sakata la Escrow

KAMATI YA MARIDHIANO SIX TAARIFA PART 4/4 KAMATI NO 3 NA 4 BUNGENI 12 APRIL 2014

KAMATI YA MARIDHIANO SIX TAARIFA PART 4/4 KAMATI NO 3 NA 4 BUNGENI 12 APRIL 2014

Mh Tundu Lissu Atoa Mwongozo Matata Bungeni

Mh Tundu Lissu Atoa Mwongozo Matata Bungeni

Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni

Tundu Lissu Vs Mwana Sheria Mkuu Bungeni

KAMATI YA MARIDHIANO SIX UDSM PART 1/4 MDAHALO BUNGE LA KATIBA 03 AUG 2014

KAMATI YA MARIDHIANO SIX UDSM PART 1/4 MDAHALO BUNGE LA KATIBA 03 AUG 2014

Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017

Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017

Lissu CCM ni Kama Nyoka | TBC BUNGE

Lissu CCM ni Kama Nyoka | TBC BUNGE

BAJETI KUU 2017/18:Tundu Lissu amgusa JK

BAJETI KUU 2017/18:Tundu Lissu amgusa JK

Tundu Lissu Ashangazwa Bungeni  | TBC

Tundu Lissu Ashangazwa Bungeni | TBC

KAMATI YA MARIDHIANO SIX TAARIFA KAMATI YA 3 NA 4 PART 4/4  TAREHE 14 APRIL 2014 LISSU

KAMATI YA MARIDHIANO SIX TAARIFA KAMATI YA 3 NA 4 PART 4/4 TAREHE 14 APRIL 2014 LISSU

KAMATI YA MARIDHIANO SIX PART 3/4 MDAHALO NYERERE FOUNDATION 04 AUG 2014

KAMATI YA MARIDHIANO SIX PART 3/4 MDAHALO NYERERE FOUNDATION 04 AUG 2014

LOWASSA AJIUZULU UWAZIRI MKUU

LOWASSA AJIUZULU UWAZIRI MKUU

Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka

Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka

TUNDU LISSU: Wanataka Kunidhuru Wamsingizie Mbowe | Mimi Nataka Haki Kwa Wananchi

TUNDU LISSU: Wanataka Kunidhuru Wamsingizie Mbowe | Mimi Nataka Haki Kwa Wananchi

JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO

JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]