MASKINI MUOKOTA VIUMA , ALIPENDWA NA BINTI BILIONEA , BILA KUJUWA | Simulizi ya Mapenzi
Автор: King Booller Empire
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 183
MASKINI ALIOKOTA MAKOP0 BARABARANI, AKAISHIA KUOA BINTI WA BILIONEA 😭🔥
Hii ni simulizi ya kugusa moyo ya Rama, kijana maskini aliyekuwa akikusanya mishe na makopo mitaani, hadi siku moja alipokutana na Leila, binti wa bilionea, bila kujua ukweli wake.
Upendo wao ulizaliwa kwenye vumbi, ukapitia majaribu makubwa ya pesa, fitina, wivu na maamuzi magumu. Wengi waliamini Rama alikuwa anamtumia Leila kwa mali, lakini ukweli ulidhihirika pale alipojaribiwa kwa mamilioni.
Simulizi hii inatufundisha kuwa upendo wa kweli haupimwi kwa pesa, bali kwa maamuzi sahihi unapojaribiwa.
👉 Tazama mpaka mwisho ujue kilichotokea
👍 Usisahau kulike, kutoa comment, na kusubscribe Channel ya King Bula Empaya kwa simulizi kali zaidi za kugusa moyo.
❤️ Tunawapenda sana — Asanteni kwa support yenu!
#Simuliziyakusisimua
#MaskiniNaTajiri
#BintiWaBilionea
#UpendoWaKweli
#SimuliziZaMaisha
#HadithiZaKiswahili
#AfricanStory
#LoveStory
#DramaYaMaisha
#Motivation
#KingBulaEmpaya
#SimuliziKali
#HadithiYaKusisimua
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: