MAKALA: UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET KATIKA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE)
Автор: karibuduce
Загружено: 2024-10-10
Просмотров: 213
Katika makala hii, tunachambua utekelezaji wa Mradi wa HEET (Higher Education for Economic Transformation) katika Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Tazama jinsi mradi huu unavyobadilisha mazingira ya elimu kupitia ujenzi wa majengo mapya, teknolojia za kisasa za kufundishia, na fursa za utafiti. Jifunze jinsi DUCE inavyojiandaa kutoa wahitimu wenye ujuzi na sifa zinazohitajika katika soko la ajira na jinsi mradi huu unavyosaidia katika maendeleo ya kiuchumi nchini Tanzania. #DUCEnizaidiyaualimu, #proudlyduce, #HEET #DUCE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: