Mkasi | S11E13 With G-Nako - Extended Version
Автор: MkasiTV
Загружено: 2015-03-18
Просмотров: 26583
Muziki wa Hip Hop ulipofika Arusha uliweka Kambi kidogo, na ulichagua mabalozi, na moja ya waliobeba Bendera ya Hip Hop hapa nchini kwa Uaminifu ni Kampuni la Weusi! Ukisikia WEUSI, upesi majina yanakujia kichwani na bila shaka G NAKO ni mojawapo!
Nguli wa kuimba na kurap, alietia nakshi nyimbo nyingi za Weusi, pamoja na kufanya nyimbo zake mwenyewe. Ni sauti hiyo pia tumeisikia kwenye nyimbo kama Mfalme ya Mwana FA, XO ya Joh Makini lakini pia kuna nyimbo yake kama Mama Yeyo na nyinginezo nyingi! Undani kuhusu G Nako #Warawara ni upi?
Alianza vipi muziki? Nini alipendelea kufanya akiwa mdogo na je hii ndio ilikua ndoto yake? Hayo ni machache ya maswali mengi ambayo Salama, Mubah na John watamrushia mgeni wetu, ili nawe upate majibu! Kwa hisani ya Coca Cola, Tusker Larger na Airtel.
Follow MkasiTV on
Facebook : / mkasitv
Twitter : @MkasiTV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: