Wanafunzi wakiondoka Old Tanga baada ya shule kufungwa
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-03-17
Просмотров: 2763
Wanafunzi wa shule ya sekondari Old Tanga wakiondoka kwenye majengo ya shule hiyo yaliyopo karibu na uwanja wa mpra wa Mkwakwani kufuatia agizo la kufungwa kwa shule za awali hadi sekondari kwa siku 30 lililotolewa na waziri mkuu, Kassim Majaliwa.
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: