Mwonekano wa soko kuu Lindi baada ya kutakiwa kupisha ujenzi wa soko jipya.
Автор: Sambaza Ufahamu Online Tv
Загружено: 2025-06-17
Просмотров: 108
Wafanyabiashara wa soko kuu Lindi wametakiwa kuhama kwa muda kuhamia kwenye soko lililojengwa kwa muda ili kupisha ujenzi wa mradi wa soko la kisasa.
historia inqonyesha kuwa soko lililovunjwa lilijengwa tokea mwaka 1955 hivyo kwa uchakavu huo ni wazi sasa kunahitaji mabadiriko.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: