MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAPOROMOKO YA MTO RUSUMO WAFIKIA ASILIMIA 95..
Автор: Global TV Ripota
Загружено: 2022-07-11
Просмотров: 875
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA MAPOROMOKO YA MTO RUSUMO WAFIKIA ASILIMIA 95..
Mradi wa kuzalisha umeme wa maporomoko ya mto RUSUMO uliopo wilayani NGARA mkoani KAGERA utakaonufaisha nchi tatu za TANZANIA,RWANDA na BURUNDI unatarijia kukamilika mwezi Novemba mwaka huu baada ya ujenzi wake kufikia asilimia 95.
Wakizungumza katika ziara ya kukagua na kutembelea mradi huo katibu mkuu wa wizara ya Nishati FELCHESEMI MRAMBA pamoja na katibu mkuu wizara ya fedha na mipango Dkt EMANUEL TUTUBA wamesema wameridhishwa na ujenzi wa mradi huo, ambapo mradi huo ukikamilika utaondoa adha ya upatikanaji wa umeme wa uhakika katika mikoa ya KIGOMA na KAGERA.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: