Njoo,Bwana, Utuokoe/Zaburi Gaudete Sunday/Jacob Nyamai.
Автор: ST. JOSEPHS 2ND MASS CHOIR - MLOLONGO
Загружено: 2025-12-14
Просмотров: 252
ZABURI YA KUITIKIZANA
ZABURI 146:6c-7, 8-9a, 9be-10 (K. tazama Isaya 35:4)
Njoo, Bwana, utuokoe
Ni Bwana ashikaye uaminifu hata milele. Huwarudishia haki waliodhulumiwa, huwapa wenye njaa chakula. Bwana huwafungua wafungwa.
Bwana huyafumbua macho ya vipofu. Bwana huwainua waliokandamizwa; Bwana huwapenda wenye haki. Bwana huwalinda wageni.
Huwategemeza yatima na mjane, bali huipotosha njia ya waovu. Bwana atatawala milele, Mungu wako, ee Sioni, kizazi hata kizazi!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: