Waziri Mwakyembe alivyoulizwa ilipofikia ripoti ya Nape kuhusu kuvamiwa Clouds
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-03-29
Просмотров: 37709
March 29, 2017 Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na micheo Dr. Harrison Mwakyembe alifanya mkutano na Waandishi wa habari Dodoma na kuzungumzia mikakati ya Wizara yake, moja ya swali aliloulizwa na wanahabari ni kuhusu ripoti iliyoachwa na Waziri wa zamani Nape Nnauye kuhusu uchunguzi wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kudaiwa kuvamia ofisi za Clouds Media huku akiwa na Asjari wenye silaha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: