DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 04, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-09-04
Просмотров: 6857
Tuliyokuandalia mchana
++ Viongozi wa Ulaya na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky wanakutana leo mjini Paris katika jitihada mpya za kuongeza shinikizo kwa rais wa Urusi Vladimir Putin baada ya kiongozi huyo kuapa kwamba Urusi itaendelea kupigana vita nchini Ukraine kama mkataba wa amani hautafikiwa. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: