🔴KAMBI YA MICHEZO, MIQUISONE ATAJWA SIMBA, JULIO AMWAGA CHECHE TAIFA STARS. DISEMBA 11, 2025.
Автор: RadioOne Tanzania
Загружено: 2025-12-12
Просмотров: 1022
🔴KAMBI YA MICHEZO, MIQUISONE ATAJWA SIMBA, JULIO AMWAGA CHECHE TAIFA STARS. DISEMBA 11, 2025.
hoseamchopa amezungumza na Kocha Mzalendo Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’ kuhusu namna safari yao ilivyohitimishwa katika timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars tangu wafanye makubwa kama makocha wazawa katika kikosi hicho.
Kiwhelo kama mmoja ya makocha waliokuwa wanamsaidia Hemed Morocco ameonekana kutoridhishwa na namna ambavyo makocha wazawa wanachukuliwa.
#live #radioone #radio #KAMBIYAMICHEZO #michezo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: