Jt Raf _SINA CHA KUKULIPA MUNGU
Автор: PRODUCER JT RAF .356k views.3hrs ago
Загружено: 2025-08-28
Просмотров: 146789
Sina cha kukulipa Mungu,
(Sina cha kukulipa mimi)
Sina cha kukulipa Yaweh
(Sina cha kukulipa yesu)
Mbali na kukuimbia wewe,
(Sina cha kukulipa yesu)
Mbali na kulitukuza jina lako,
(Sina cha kukulipa Mola)
Ila nitakuabudu Mungu,
(Sina cha kukulipa Yesu)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: