Chanjo ya Vifaranga vya kuku - Kuku wa Kienyeji, Chotara na Kuku wa Kisasa
Автор: Changamkia Fursa
Загружено: 2018-08-26
Просмотров: 161475
Chanjo ya vifaranga vya kuku
Ufugaji wa kuku kwa nchi za Africa mashariki zikiwemo Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi na Rwanda unaendelea kukua kwa haraka licha ya changamoto za magonjwa ya kuku kuathiri zaidi biashara hiyo.
Changamkia fursa inashauri wafugaji wa kuku kufuata ratiba sahihi ya chanjo kwa vifaranga vya kuku ili kupunguza changamoto hizo kama ifuatavyo :-
1. Chanjo ya mdondo / Newcastle (siku ya 7)
2. Chanjo ya Gumboro (siku ya 14)
3. Chanjo ya mdondo /Newcastle 2 (siku ya 21)
4. Chanjo ya Gumboro 2 (siku ya 28)
5. Chanjo ya ndui (siku ya 35)
Baada ya hapo mfugaji atarudia chanjo ya mdondo kila baada ya miezi 3
#chanjoyavifarangawakienyeji #ufugajiwakukuwakienyeji #changamkiafursatv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: