Kunyoa sio uhuni, kunyoa ni usafi kunyoa ni urembo
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2021-11-01
Просмотров: 22950
Wimbi kubwa la wanawake wanaopenda kunyoa nywele zao kwa mitindo kama ya wanaume limezidi kuongezeka pia Saluni nyingi za kiume zimedaiwa kushindwa kuwanyoa vizuri wanawake na kuhakikisha wanapendeza.
Kwa mapungufu hayo katika sekta ya kupendeza kwa wanawake ndipo kijana @cthjoel akaona fursa na kuamua kufungua saluni ya kunyoa ya wanawake tu nchini Tanzania, akiwa ni mwanaume anaewahudumia wanawake tu.
#bbcswahili #Tanzania #Urembo #Wanawake
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: