PILI MAGUFULI AACHA UJUMBE KWA WANAWAKE KATAVI
Автор: Site Tv Online
Загружено: 2025-10-26
Просмотров: 127
Kamati ya utekelezaji UWT Mkoa wa Katavi ikiongozwa na Mwenyekiti Fortunata Kabeja, pamoja na Wabunge wateule Viti Maalum CCM wa Mkoa huo Taska Mbogo na Martha Maliki, wakiwa na Mgeni rasmi ambae ni Mlezi wa UWT kutoka Taifa Pili magufuli, wamefanya Kikao kilicho husisha Makundi mbalimbali maalum ya Wanawake wakiwemo walemavu, wanawake na samia, Viongozi wa dini na Jukwaa la wanawake juu ya upigaji wa kura.
Katika kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa idara ya maji Mlezi huyo amewakumbusha Wanawake kwa ujumla kuendelea kuhamasisha jamii ili iwezi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kukipigia Chama Cha Mapinduzi CCM kiweze kushinda kwa kishindo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: