TWALIA kwa matumaini
Автор: RAJO PRODUCTIONS
Загружено: 2021-03-21
Просмотров: 227162
Saint John Paul II Mbeya Choir (JMC).
Tukiwa na majonzi na simanzi kwa kuondokewa na Mpendwa wetu, Dr John Pombe Magufuli, tuungane na wanakwaya hawa wa kwaya ya Saint John Paul II Mbeya Choir (JMC) kutoka kanisa la Mtakatifu Anthony wa Padua - Mbeya Mjini katika kumwombea Mpendwa wetu apumzike kwa amaniWimbo huu ni utunzi wake Sindani PTK na ni maalum kwa ajili ya kuomboleza na kumwombea Dr John Pombe Magufuli, Mungu ampokee katika ufalme wake mbinguni.Wimbo huu umeandaliwa katika studio za RAJO Productions (Audio & Video)Mungu amrehemu Dr John Pombe Magufuli.Raha ya milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umwangazie,Apumzike kwa amani, Amina.
#miminaneema #rajoproductions #cloudsmedia #wasafitv #tbc #mwananchi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: