MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NDG. DKT. SAMIA AKỊWA KATIKA KAMPENI -NGERENGERE
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2025-08-29
Просмотров: 7004
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: