Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

WEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za Kiswahili

Автор: Ubongo Kids Kiswahili

Загружено: 2021-08-14

Просмотров: 287862

Описание:

Kwenye kipindi hiki, Kibena anaonyesha ujasiri kwa kushiriki habari na marafiki zake.

Tuma ujumbe na neno UTU kwenda +12349001234 kwa whatsapp ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuanzisha na kujiunga na kilabu cha UTU katika jamii yako.

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika.

Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

https://www.ubongokids.com
  / ubongokids  
  / ubongotz  

Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!

https://www.ubongo.org

Imewezeshwa na Templeton World Charity Foundation.

#UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu #UTU

WEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za Kiswahili

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

WEBISODE 74: Nguvu ya uvutano (unaweza kujifunza popote) | Utu: Shukrani | Katuni za Kiswahili

Mrembo na Mnyama | Beauty and The Beast in Swahili | Swahili Fairy Tales

Webisode 56: Kufanya Maamuzi! | Ubongo Kids + European Union | Hadithi za Kiswahili

WEBISODE 64: Tufike Pamoja |  Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za Kiswahili

Umuhimu wakuweka akiba | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Ubongo  Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za Kiswahili

Binti nyoka | The Snake Princess in Swahili | @SwahiliFairyTales

WEBISODE: Tutatue Tatizo na Ubongo Kids | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

Kinyozi mjinga | The Foolish Barber Story in Swahili | Swahili Fairy Tales

Kujumlisha kwa Kubeba: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Kujumlisha na Kutoa: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Kipupwe cha milele | Eternal Winter in Swahili | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy Tales

Ubongo Kids Webisode 30 - Rafiki wa Macho - Mwanga

Akili na marafiki zake wote | Jifunze Kiingereza na Akili and Me | Katuni za watoto

The importance of having self control | Ubongo Kids Compilation |African Educational Cartoons

Маша и Медведь - С чего все начиналось? 🎄 За праздничным столом с Машей 🎉

Ubongo Kids Webisode 33 | Mechi Mwilini - Mifumo ya Mwili

Usalama Barabarani Na Ubongo Kids |  Tufike Pamoja | Swahili Version

WEBISODE: Leo kwa ajili ya kesho | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

WEBISODE 67: Hakuna atakaejua... | Ubongo Kids Utu: Uadilifu | Katuni za Elimu

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]