MAGUFULI Akuta MADUDU Hospitali ya CHATO, ACHARUKA - "UTALIWA WEWE SIO HELA"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-12-06
Просмотров: 61385
MAGUFULI Akuta MADUDU Hospitali ya CHATO, ACHARUKA - "UTALIWA WEWE SIO HELA"
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuanza mara moja upanuzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Chato kwa kuwa Serikali imeshatoa shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi huo..
Mhe. Rais Magufuli ambaye hakufurahishwa na taarifa za viongozi wa halmashauri hiyo kupoteza muda mwingi wakibishana juu ya upanuzi huo licha ya fedha za ujenzi kutolewa tangu mwezi Julai 2019, ameonya kuwa Serikali haiwezi kuvumilia kuona watu wakipata shida kwa uzembe wa viongozi wachache wa Halmashauri.
Amemuagiza Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Bw. Eliud Mwaiteleke kuhakikisha ujenzi wa majengo hayo unafanyika na kwa gharama zinazostahili.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: