1. Vifaa vya muhimu kwa ufundi wa umeme wa gari
Автор: Fundigari Academy
Загружено: 2021-05-14
Просмотров: 15141
Kazi ya kugundua tatizo na chanzo chake katika kutengeneza umeme wa gari hurahisishwa sana kama ukiwa na vifaa muhimu vifuatavyo
1.Multimeter (Kipima umeme)
2.Test light (Kipima kitoa mwanga)
3. Diagnostic machine/code reader(mashine ya komputer ya kusoma namba za hitilafu za computer za gari.
kiswahili kitatumika katika video hii. changia kwa kutoa tafsiri maneno ya kiswahili pale ambapo kiingereza kimetumika. Pia ongezea katika list kifaa kingine ambacho ni muhimu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: