TAZAMA POLISI GEITA WALIVYOWATAWANYA KWA MABOMU WANAFUNZI WALIOANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2022-05-10
Просмотров: 34989
jeshi la polisi mkoani Geita limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi na wananchi wa kata ya Buseresere iliyopo Wilaya ya Chato mkoani Geita, waliokuwa wamefunga barabara kuu itokayo mwanza/Bukoba baada ya mwanafunzi kugongwa na Bus la kampuni ya FIKOSHI na kumsababishia kifo papo hapo.
mwanafunzi huyo ambaye alikuwa akisoma kidato cha pili katika shule ya sekondari Buseresere ,aligongwa eneo la zebra linalotumika kuruhusu watembea kwa miguu kupita.
#MwangazatvUpdates.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: