Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

RAS MWANZA AFUNGUA MAFUNZO YA E - MABORESHO YENYE LENGO LA KUMALIZA RUSHWA NCHINI

Автор: MWANZA RS TV

Загружено: 2025-10-09

Просмотров: 76

Описание:

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana amewataka wajumbe wa Kamati za Utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa Kuzuia na kupambana na Rushwa kusaidia taasisi zao kutumia mfumo wa E-Maboresho kwa ufanisi ili kusaidia kumaliza tatizo la Rushwa nchini.

Ametoa rai hiyo leo tarehe 09 Oktoba, 2025 wakati akifungua mafunzo ya mfumo wa kielektroniki wa utekelezaji wa mkakati wa IV wa kitaifa wa kuzuia na kupambana na Rushwa yaani E-Maboresho katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Amesema, serikali inatamani kuona rushwa imetokomezwa kabisa nchini ili kuhakikisha taifa linasonga mbele kwa mujibu wa katiba ya nchi, hivyo matumizi ya mfumo huo yatawaimarisha wajumbe wa kamati kuweza kuchakata taarifa na kuwasilisha kwa wakati kwa Katibu Mkuu kiongozi kwa ajili ya hatua zinazofuata.

Aidha, Bw. Balandya amemithilisha uboreshwaji mkubwa wa miradi ya maendeleo katika sekta za miundombinu, Elimu, Maji, Afya, Kilimo, Uchukuzi na mafanikio ya mikakati ya kupambana na rushwa kwani imeleta nidhamu ya matumizi mazuri ya fedha kwenye miradi.

Mratibu wa Mafunzo hayo kutoka OR Ikulu Bi. Christina Maganga amebainisha kuwa mafunzo hayo ya matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa kuzuia Rushwa E-Maboresho yamelenga kuwajengea uwezo Wenyeviti, Makatibu wa Kamati hizo pamoja na Maafisa TEHAMA.

Aidha, amefafanua kuwa mafunzo hayo yalikwishafanyika katika mikoa 17 ukiwemo Mkoa wa Mwanza na kwamba kwa siku mbili hizo yamewakutanisha wajumbe kutoka mikoa ya Mara, Simiyu na Kagera ambao watajengewa uwezo juu ya utumaji wa taarifa za utekelezaji wa kila robo kuhusu masuala ya mkakati wa Taifa dhidi ya rushwa.

Wakati akijinasibu na uwepo wa vivutio lukuki vya utalii mkoani humo na kuwahamasisha kuvitembelea wawapo kwenye mafunzo hayo, Katibu Tawala amewasihi wajumbe wa mafunzo hayo kuhakikisha wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

RAS MWANZA AFUNGUA MAFUNZO YA E - MABORESHO YENYE LENGO LA KUMALIZA RUSHWA NCHINI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

BENIN: Wanajeshi watangaza kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon

BENIN: Wanajeshi watangaza kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon

RC MTANDA ASHUHUDIA SAFARI YA KWANZA YA MV NEW MWANZA KWENDA BUKOBA

RC MTANDA ASHUHUDIA SAFARI YA KWANZA YA MV NEW MWANZA KWENDA BUKOBA

RC MTANDA AZUNGUMZA NA WAZEE WA MWANZA AWATAKA KUZINGATIA LISHE BORA ILI KUJIKINGA NA MARADHI

RC MTANDA AZUNGUMZA NA WAZEE WA MWANZA AWATAKA KUZINGATIA LISHE BORA ILI KUJIKINGA NA MARADHI

BILIONI 18.6 ZATUMIKA MABORESHO NA UPANUZI WA BANDARI YA MWANZA KASKAZINI

BILIONI 18.6 ZATUMIKA MABORESHO NA UPANUZI WA BANDARI YA MWANZA KASKAZINI

MRADI WA HOTEL MWANZA

MRADI WA HOTEL MWANZA

MV NEW MWANZA НАЧИНАЕТ ПУТЕШЕСТВИЕ В БУКОБА

MV NEW MWANZA НАЧИНАЕТ ПУТЕШЕСТВИЕ В БУКОБА

RC MTANDA AWAALIKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO YA BILA RIBA KUTOKA TADB

RC MTANDA AWAALIKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIKOPO YA BILA RIBA KUTOKA TADB

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Watu 172 kortini kwa tuhuma za kufanya vurugu, unyang’anyi wa kutumia silaha Mwanza

Watu 172 kortini kwa tuhuma za kufanya vurugu, unyang’anyi wa kutumia silaha Mwanza

MAAFISA USAFIRISHAJI MWANZA WAAHIDI KULINDA AMANI

MAAFISA USAFIRISHAJI MWANZA WAAHIDI KULINDA AMANI

История Византии за 13 минут

История Византии за 13 минут

WASIMAMISHWA KAZI SAKATA LA UBAKAJI URAMBO TABORA

WASIMAMISHWA KAZI SAKATA LA UBAKAJI URAMBO TABORA

Zatajone tożsamości. Fałszywe nazwiska, które zmieniły Polskę

Zatajone tożsamości. Fałszywe nazwiska, które zmieniły Polskę

BMG TV: Ujenzi wa barabara ya Nyamhongolo-  Buswelu, Ilemela

BMG TV: Ujenzi wa barabara ya Nyamhongolo- Buswelu, Ilemela

Тюркский мир укрепляется

Тюркский мир укрепляется

Китай показал первый летающий автомобиль в мире, только взгляните…

Китай показал первый летающий автомобиль в мире, только взгляните…

Białoruś POWOLI UPADA - Tak źle tam nie było

Białoruś POWOLI UPADA - Tak źle tam nie było

RAS SONGWE DKT HAWASSI AFUNGUA MAFUNZO KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

RAS SONGWE DKT HAWASSI AFUNGUA MAFUNZO KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII

BMG TV: Ujenzi wa barabara ya Buswelu- Busenga- Cocacola, Ilemela Mwanza

BMG TV: Ujenzi wa barabara ya Buswelu- Busenga- Cocacola, Ilemela Mwanza

ТЕРЕШКОВА В КОСМОСЕ:

ТЕРЕШКОВА В КОСМОСЕ: "ВИЖУ ТО, ЧЕГО НЕ ДОЛЖНО БЫТЬ" | Загадки полёта "Чайки"

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]