Wakazi wa Lamu washauriwa kutoshiriki katika maandamano ya Azimio
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-07-17
Просмотров: 1490
Wakaazi wa kaunti ya Lamu wameshauriwa kujiepusha na maandamano yanayotekelezwa na Muungano wa Azimio humu nchini na badala yake kuinga mkono serikali ya Kenya Kwanza lli wafaidi maendeleo. Haya yamesemwa na seneta wa kaunti ya Lamu Joseph Githuku wakati wa zoezi la kuwasilisha chakula pamoja na vifaa vya malazi kwa waathiriwa wa mashambulizi ya kigaidi kaunti hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: