Alfannaan makono DARUESH ROCKET AMPATIA IJAZA KIJANA KWA KUMTEMEA MATE MDOMONI LIVE
Автор: Alfannaan Makono
Загружено: 2021-08-14
Просмотров: 28482
Sheikh huyu anahistoria kubwa sana sana naweza kusema kua katika hii mchi yetu ya Tanzania hakuna alie jaaliwa kwenda hijja Mara nyingi kama yeye, nakumbuka miaka kama minne iliopita niliwahi kumona kwamacho yangu katika viwanja vya maulidi pale chalinze ndipo alisema, nanukuu, Waislam naomba mnipe nauli nahitaji kwenda hija tena mwaka huu nitimize hija ya 50, lakini kama msipo nipa tutakutana huko huko, jambo ambalo limewachekesha watu na kuwa shangaza, kwahio ndugu zangu mzee huyu anahistoria kubwa sana, usisahau ku subscribe channel yako pendwa , like, comment where ahsante
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: