Magoli | Simba 3-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 03/02/2023
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-02-03
Просмотров: 656973
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo mkali uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Magoli ya Simba yamefungwa Jean Baleke dakika ya 8, Saidi Ntibazonkiza dakika ya 21 na Pape Sakho dakika ya 63 huku goli pekee la Singida likitoka kwa Bruno Gomes aliyefunga kwa free kick dakika ya 35.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: