Bei za Nguo, Dhahabu & Simu Canada 🇨🇦 | Cost of Living + Real Jobs for Africans
Автор: LEZA FAMILY
Загружено: 2025-08-19
Просмотров: 2045
Karibu tena kwenye Leza Family 🙏
Leo nimewapeleka kutembea nami kwenye shops hapa Canada 🇨🇦:
👔 Gharama za nguo (expensive fashion)
💎 Gold & diamond chains
📱 Bei ya simu za second-hand
Hii ni kuonyesha cost of living in Canada na maisha halisi ya kila siku. Wengi huuliza, “je maisha Canada yako aje? bei za vitu ni ghali?” — hii video inakupa jibu la ukweli.
Lakini pia, kwenye channel yetu tunakuletea:
✅ Jinsi ya kupata real jobs in Canada ukiwa bado Africa (Kenya, Tanzania, Uganda, Congo, Rwanda, Burundi)
✅ Programs za legal relocation kama LMIA jobs, Atlantic Immigration Program (AIP), caregiver na farm jobs
✅ Maisha ya kawaida ya familia za wahamiaji Canada
👉 Kama unataka kujua zaidi kuhusu maisha Canada na njia halali za relocation, hii channel ni yako.
Don’t forget to Like 👍, Comment 💬, na Subscribe 🔔 – pia share na rafiki yako anayetaka kujua ukweli wa Canada!
#LezaFamily #MaishaCanada #CanadaJobs #LMIA #AtlanticImmigrationProgram #EastAfricansInCanada #CanadaLifestyle #CostOfLivingCanada #KenyaToCanada #TanzaniaToCanada #CongoToCanada #RelocateToCanada
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: