SAUTI _YA_USHINDI_KWAYA_MWANAMPOTEVU_official_lyrics _Video.
Автор: SAUTI YA USHINDI
Загружено: 2025-08-31
Просмотров: 622
Mwanampotevu ni wimbo unaotukumbusha kuwa tunapo pata mahitaji yetu kutuko kwa Mungu baada ya kuomba muda mrefu tuendelee kumkumbuka Mungu wakati huo wa mafanikio kuwa yeye ndiye aliye tupatia yote hayo na tunapomkosea Mungu inatupasa kurudi haraka na kutubu maana yeye ni mwingi wa msamaha na rehema.
Luka 15:11-32 " Alipozingatia moyoni mwake , alisema , Niwatumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza , na mimi hapa nakufa hapa na njaa , Nitaondoka nitakwenda kwa, Baba yangu na kumwambia Baba nimekosa juu ya mbingu na mbele yako"
CREDIT
song singers: sauti ya ushindi kwaya
songwriter & music: sylivester salala
Lyrics video: pope studio
Location
Tanzania 🇹🇿 Dar es salaam_Temeke _keko_keko mwanga b
contact us
Instagram: @sauti ya ushindi choir
Facebook: Sauti ya ushindi kwaya
threads : @sauti ya ushindi choir
tiktok : ushindi tz
Email: [email protected]
WhatsApp:+255653210605
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: