Essence of Worship Ft Imani Shoo - Una Nguvu (Official Music Video)
Автор: Essence Of Worship Ministries
Загружено: 2022-02-24
Просмотров: 457236
Isaya 40:28-31
Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.
Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: