Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Masaa 10 Hours ya Dua nzito | Ukiwa Umelala| Ondoa Stressi, Wasiwasi, Hofu, Matatizo | Skrini Nyeusi

Автор: Boost Humanity

Загружено: 2022-12-25

Просмотров: 125402

Описание:

QURAN NI SHIFAA
Quran ni muujiza Allah alimuonyesha Mtume wake Muhammad (S.A.W.) na ni baraka kwa ubinadamu. Quran sio muongozo tu kwa wanadamu bali Allah (Subhanna wa taallah) ameifanya kuwa njia na tiba ya kimwili, kiroho na ya kisaikolojia ya aina zote. Mola wetu alituumba amesema wazi kwamba maneno yaliyoopo ndani ta Quran ni “Shifaa” (tiba) kwa wote; tiba aina hii inaweza kusababisha muujiza kwa matatizo aina yote. Na hii imetajwa katika vitabu vingi vya sunna cya kiislamu .

Na katika imani ya muislamu, Quran ni nia ya tiba na mente kuria ni Allah (Subhanna wa taallah) pekee. Hata unapokwenda kwa daktari au mtaalam wa afya, yeye atakupa dawa ama anafanya upasuaji, lakini anayetibu ni Allah (Subhanna wa taallah) pekee.

Kuisoma Quran ama kusikiliza tu, itakupa utulivu. Katika hadith ya Abu Huraira (Radhi Allahu Anhu) inasema, wanapokusanyika watu katika nyumba ya Allah (Subhanna wa taallah) kuisoma katibu chake, basi utulivu huwateremkia, na rehema huwazunguka, na malaika pia huwazunguka, na Allah (Subhanna wa taallah) huwataja kama wale walio miongoni mwake.

Tukizungumzia aina zengine za tiba, Uislamu hauja zuia matumizi ya tiba zinazopatikana kupitia dawa na sayansi. Na tiba aina hizi zina ziliungwa mono katika masomo ya Mtume wetu Muhammad (S.A.W.) ambaye pia yeye alizitumia kwa karachi tofauti na kuwashauri wafuasi wake kufanya hivo. kwa hiyo pia kutukia tiba za kiasili pia tipo fatica uislamu.

Masaa 10 Hours ya Dua nzito | Ukiwa Umelala| Ondoa Stressi, Wasiwasi, Hofu, Matatizo | Skrini Nyeusi

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)

QUICK SOLUTION! BEST DUA TO MAKE ANY PROBLEM VERY EASY TO SOLVE!!!

fungulia dua hii ktk biashara yako italeta baraka na kuondosha uzito na chuma ulete: fungulia siku 7

02 SURAH AL BAQARAH (Tafsiri Ya Quran Kwa Kiswahili)

KISOMO KIZITO CHA KUONDOSHA UCHAWI, MASHEITWANI, MAJINI WALIOSHINDIKANA MWILINI. SH. OTHMAN MICHAEL

Night prayer for peaceful sleep - Allah Protects You And Your Family, Mind Body Spirit Cleansing

POWERFUL DUA FOR NIGHT | Protection,Stress-free, Job, Rizq & Business Problems Solve | Habibullah TV

Listen This Morning Azkar & Dua For Blessings ❤ Protection ❤ Rizq ❤ Tasbih  أذكار الصباح

HII NDIO DUWA ILIYOLETA MAFANIKIO KABLA KUINGIA MTANDANONI ,NA WEWE  ITIZAME

JIKINGE NA UCHAWI,HASADI NA KIJICHO KWA ADHKAAR HIZI

DUA YA KUMUANGAMIZA ADUI NA KUBATILISHA UCHAWI NA KURUDISHA UBAYA KWA MCHAWI ALOKUROGA

Sura Yasin (Roho ya Quran) katika Skrini Nyeusi (mara 10).

Powerful Supplications For All Problems - Full Ruqyah & Dua Qunoot | 4K ISLAM

AHLAL BADIRI YA MOTO MKALI KUZUIA UCHAWI

MORNING DUA: Beautiful Prayer for Protection, Rizq & Peace (With Arabic & English Subtitles)

19 SURAH MARYAM (Tafsiri ya Quran kwa Kiswahili Kwa Sauti, Audio)

RUQYAH FOR BLOCKAGES IN LIFE BY JINN, SHAITAN, MAGIC & EVIL EYE (UNLOCK AND UNTIE ALL KNOTS & LOCKS)

SIKILIZA DUA YA KUJENGA UZURI NA UREMBO NA KUONDOA VIKWAZO

Beautiful Morning Dua For Rizq And Protection, Job, Business,To Solve All problems | Habibullah TV

Listen to This Dua At night To Help you Sleep, Deep Sleep, Inner Peace ᴴᴰ - Cure Sleeping Problems

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]